Upendo wa Mama

Mama mwenye upendo ni mvumilivu kwa watoto wake pale wanapoonyesha tabia za utoto na kutokukua. Hujitoa kwa watoto wake bila kuangalia watamrudishia nini.

Mama mwenye upendo anaimani na watoto wake. Huamini katika uwezo wa kila mmoja kuweza kusimama kama nuru katika ulimwengu uliojaa giza, huvumilia yote na kukabiliana na yote ili kuweza kufanikisha yote hayo.

Upendo wa mama kamwe haupotei. Chakula kitamu kitaliwa na kusahaulika, nguo nzuri itavaliwa na kuchakaa. Inawezekana kwa watoto wako jambo la muhimu kwao ni ‘toys’, chakula na michezo; Lakini, watakapokuwa wakubwa upendo wa mama ndio kitu watakachotembea nacho siku zote, wataukumbuka na kuuthamini daima.

Onyesha upendo wa mama kwa watoto wako.

Advertisements

3 thoughts on “Upendo wa Mama

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s