Bible Study

image

Shalom

Weekend hii tujifunze biblia pamoja kwa kusoma kitabu cha wafilipi. Kaa chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu ili uweze kupata mafunuo mbali mbali kisha tushirikishane hapa. Hakikisha unasoma kitabu chote kwa makini na kwa kujifunza.

Kutakuwa na majadiliano hapa kama una swali, neno la kutufaa au unahitaji ufafanuzi wowote. Karibu tujifunze biblia.

Advertisements

One thought on “Bible Study

  1. Shalom,

    says Lucy.

    Neno moja tu Roho Mtakatifu anatuongoza ni kutomtendea kosa, Ro Mtakatifu maana ukimkosea hutasamehewa.

    Namshuku mungu kwa mt. Philip alivyosema kwamba kuchuchumalia ya mbele na kusahau ya nyuma.

    Wow. Mmebarikiwa!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s