Vifaa Muhimu – 1

image

Kuna vitu vingi sana ambavyo ni muhimu katika maisha ya kila siku ingawa wengi wetu huwa hatukumbuki kuwa navyo hadi pale tatizo linapotokea. Vifaa hivyo vipo katika makundi mbali mbali, leo tunaanza na ushonaji. Unaweza kushangaa kwa nini uwe na vifaa vya ushonaji wakati mafundi wapo wengi, lakini siku utakapokatikiwa kifungo ukiwa ofisini ndio utajua umuhimu wake. Vifaa hivi viwe nyumbani na vingine utembee navyo.

1. Sindano za kushonea kubwa na ndogo.
2. Nyuzi za kushonea za rangi mbali mbali.
3. Mkasi mdogo na mkubwa
4. Vifungo vya aina, rangi na ukubwa tofauti.
5. Pini kubwa na ndogo.
6. Tape measure

2 thoughts on “Vifaa Muhimu – 1

  1. ni kweli hapa nakubali kabisa, mimi yameikuta nimesafr nchi za watu ambapo kuna baridi sana, vifungo vya koti langu vilikatika, nimekaa zaidi ya wiki 3 sijavirudisha, kwasababu sina sindano na uzi, huku kila kitu ni supermarket alafu vitu vingi vimeandikwa kwa lugha ya dutch na flemish..
    nashauri popote utakapoenda hakikisha unakuwa na hivi vifaa, ni muhimu wanawake wenzangu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s