Mungu Kimbilio Letu

Zaburi 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.

Kuna misaada ya aina nyingi ambayo watu huwa wanaitegemea wakati wa matatizo fulani mfano polisi wakati kumetokea ualifu, daktari wakati wa ugonjwa, zimamoto pale panapotokea moto n.k. Misaada hii yote inakubidi kuisubiria hadi ikufikie pale ulipo maana wakati unapata matatizo haipo karibu nawe. Lakini ashukuruwe Mungu wa mbinguni yeye ambaye ni kimbilio letu na nguvu yetu tena ni msaada unaoonekana tele wakati wa mateso. Ni msaada ambao upo nasi  na wala sio wa kusubiri, …a very present help..

Unapopata shida au tatizo lolote kumbuka kuwa msaada wako unapatikana tele kwa kumwambia Mungu, yupo pamoja nawe na tayari kukusaidia. Amen!

Advertisements

2 thoughts on “Mungu Kimbilio Letu

  1. Amen womenofchrist. Mungu wetu anaitwa EMMANUEL,yaan MUNGU PAMOJA NASI.Inatubi tuishi kwa uhalisia wa NENO la Mungu. Wakati mwingine hisia zetu zinapingana kabisa na neno la MUNGU,yaan wakati wa raha ndipo tunadhani MUNGU yupamoja nasi, lakini wakati wa matatizo hisia zinasema MUNGU yuko mbali. Tujitie nguvu,Mungu yu pamoja nasi hata ukamilifu wa dahali.
    AMEN***

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s