Endelea Mbele

Kutoka 14:13-15
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. BWANA akamwambia Musa, mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.

Naihitaji mistari hii siku ya leo, nategemea nawe pia itakufariji. Amen.

2 thoughts on “Endelea Mbele

  1. Ni kweli hasa ktk kipindi hiki ambacho wengi wanaona kama hakuna tumaini.Binafsi nimetiwa moyo.Bless you

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s