Mapishi – Tambi zenye Sausage na Karoti

image

Tumezoea kupika tambi na nyama ya kusaga au kuzichemsha zenyewe, leo nawaletea mapishi tofauti ya tambi.

Mahitaji

1. Tambi
2. Sausage
3. Karoti kubwa 1
4. Chumvi
5. Mafuta

Matayarisho

1. Bandika sufuria jikoni na maji kiasi na uweke chumvi kiasi.
2. Kata kata sausage zako vipande vidogo vidogo.
3. Kwangua karoti kisha katakata vipande vidogo vidogo vya nusu duara.
4. Maji yakichemka weka mafuta kisha weka tambi na funikia zichemke.
5. Zikianza kuiva weka sausage na karoti, acha viive pamoja.
6. Epua, chuja maji na andaa mezani tayari kwa kuliwa.

Enjoy!

Advertisements

16 thoughts on “Mapishi – Tambi zenye Sausage na Karoti

  1. NASHUKURU KWA MAPISHI YA TAMBI,ILA NATAKA KUJUA KAMA UNAWEKA CHUMVI TU AU HATA SUKARI WAWEZA KUWEKA ?

  2. me huwa naweka mchanganyiko wa chumvi na sukari kiasi nikichemsha maji pamoja na hiliki.

  3. heee. jamani nzuri sn. me nliweka n nyanya kpande .watt wngu walijiramba sn. ndio nawapikia wkt w jioni. wakiamka.

  4. Nashukuru dada umenifumbua macho mi nilizoea kuweka carrot tu, ngoja leo nipikie familia yangu.

  5. ahsante kwa kunifumbua macho mie nimezoe aina moja ya pishi la tambi nitajaribu na hili.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s