Jipe Moyo, Songa Mbele

Zaburi 46:1-2 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima mioyoni mwa bahari.

Zaburi 31:24 Iweni hodari, mpige moyo konde, Ninyi nyote mnaomngoja BWANA.

Wafilipi 4:12-13 Najua kudhiliwa tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa. Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

2Korintho 4:16-18 Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje  unachakaa; siku kwa siku. Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana; tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele.

 

Advertisements

2 thoughts on “Jipe Moyo, Songa Mbele

  1. Nashukuru kwa kunitia moyo
    namwomba MUNGU atushike mkono ili tufanye mageuzi katika ulimwengu wa roho mwaka huu.nawaomba vijana wenye wivu wa BWANA wanaotamani kubadilisha hali ya vijana kwa njia ya maombi, wanitumie email zao ili tuungane pamoja.
    VIJANA TUSILALE
    BWANA awatie nguvu katika jina la YESU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s