Akaunti ya Pamoja kwa Wanandoa

image

Shalom
Jambo la kuwa na akaunti moja kwa wanandoa limezua mijadala sana. Je, kuna umuhimu wowote kwa wanandoa kuwa na akaunti moja ambayo wanaweka fedha zao zote?

Wengine kila mmoja anakuwa na yake kisha inakuwepo moja ambayo ni ya pamoja kwa ajili ya uwekezaji na ujenzi. Je, mahitaji ya kila siku nyumbani yanatakiwa kuhudumiwa na nani kama wote ni wafanyakazi?

Advertisements

3 thoughts on “Akaunti ya Pamoja kwa Wanandoa

 1. Asifiwe Yesu!
  Nashukuru kwa hii probe, ni nzuri tena inaweza kutusaidia kwa kuchangia mawazo na kuona nini tufanye.
  Kwanza nianze kwa kusema kwamba kwa xperience yangu ndogo nimeona jinsi ndoa nyingi zinayumba au kuingia migongano ktk maswala ya usimamizi wa pesa ziwe ndoa za waliookoka au la.

  Ila nimejifunza kuwa Mungu wetu ndio hazina yetu na Fedha ya thamani kwetu. hatuna sababu ya kuumwa kichwa sana juu ya usimamizi wa pesa.
  Cha kuanza nacho ni maombi maana ndio jibu la yote.Kumshirikisha Mungu ktk mapato yetu na jinsi yanavyopatikana mpaka jinsi ya kuyatumia.

  Pia ktk nyumba inategemea mlianzaje wakati mnaoana, itakuwa ni rahisi ikiwa watu walianza kwa kuweka misimamo jinsi pesa zitakavyokuwa managed, mishahara itatumikaje nk.Leo tunaishi na ndugu zetu ie extended families, kuna kusaidia wazazi, kusomesha watoto na pia mambo ya maendeleo ktk nyumba na mahitaji ya kila siku.

  Inawezekana mkawa na account ya akiba kwa ajili ya maendeleo nk, lakini suala la nani ahudumie mahitaji ya kila siku inategemea mmejipanaga vipi na mwenzio. ni kweli mara nyingi wamama wamekuwa ndio wasimamizi wakuu eneo hilo lakini pia sio mbaya kama baba naye atakuwa part and parcel ya usimaminzi, nikimaanisha kuwa isiwe ni account ya mama tu ndio ya kuhudumia la! hata baba anaweza kuwa na commitment ktk eneo fulani la mahitaji ya kila siku ili kuweka usawa au uwiano.

  Kuna incidents ambazo wanaume wanazitumia kama vile kwa sababu mkewe anafanya kazi basi na shida zoote za nyumbani zinakuwa juu ya mama huyu, hela ya baba hakuna mtu kugusa, sidhani kama hili ni sahihi hata mbele za Mungu.

  Ushauru wangu kwa wanandoa ni kuwa mnaweza kuwa na joint accounts ambazo kila mtu anakuwa na access na account ya mwenzi wake na mkajulisha pindi unapokuwa umefanya transactions kwenye account ya mwenzako ili kuleta amani na panapokuwa na uhitaji basi kila mtu aweze kushiriki pasipo kumtegea mwingine.
  mbarikiwe,
  Mama Chalu.

 2. hivi kama Mungu ameruhusu kuwa hawa wawili sasa watakuwa mwili mmoja thats mean hata kwenye mambo mengine ni umoja, ndoa yenye amani na furaha ni ile watu wanania mamoja, wanatembea pamoja, na wanafanya vitu kwa pamoja na si vinginevyo

 3. hello
  womenofchrist..
  Mimi kwa nashauri ni vizuri kuwa a account ya familia ambayo kila mmoja ana access nayo.lakini pia nna swali.. Je mimi kama mwanamke nina nafasi gani katika mapato ya pesa tunayoipata. wajibu wangu ni upi na mipaka yangu ni ipi.. grace.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s