Usifiwe Yesu

Zaburi 8:1-9

1Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;
2Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu;
Kwa sababu yao wanaoshindana nawe; Ukawakomeshe adui na mijilipiza kisasi.
3Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha.
4Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
5Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
6Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
7Kondoo, na ng’ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;
8Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitiacho njia za baharini.
9Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Advertisements

3 thoughts on “Usifiwe Yesu

  1. nimeguswa sana na ujumbe huu wa leo, naona kama nakumbushwa vile, kumsifu bwana Yesu milele bila kuchoka hadi mwisho wa maisha yetu. Jina lal bwana libarikiwe, Amina.

  2. Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri.Mungu akutie nguvu ili kazi yake isonge mbele na wengine wapate kupona

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s