Wafilipi 5: Amani

Wafilipi 4:7 “Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.”

Amani ya Mungu ipitayo akili zote. Amani ambayo mtu anaipata toka kwa Mungu inayompa utulivu wa moyo katikati ya masumbufu na taabu za dunia. Paulo na Sila wakiwa gerezani walikuwa na amani hii ipitayo akili zote na ndio maana waliweza kuimba na kumsifu Mungu kifungoni.

Ili amani hii iwe ndani yako ni lazima uwe ni mtu mwenye furaha ya Roho mtakatifu, upole wako ujulikane na watu wote, aliyejaa maombi na shukrani, kukabidhi kila kitu mbele za Mungu na kumuamini kuwa atafanya.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s