Maombi

Shalom

Wiki hii nimeguswa sana kuwa kwa pamoja na kwa umoja tuombe kwa ajili ya wasichana waliopewa mimba na wakajifungua watoto lakini baba wa mtoto akamkataa mtoto au akamkubali ila hashiriki chochote kwenye matunzo. Tuwaombee single mothers, wasichana ambao wamezaa na wanawahudumia watoto wenyewe bila msaada wa baba wa mtoto.

Wengine walikuwa wameokoka na sasa wametengwa na kanisa, matafiki, jamaa na hata ndugu. Mungu awatie nguvu, awarejeze kwa upendo, awasaidie katika malezi na kuwapa waume wa kuwapenda na kuwathamini. Sio rahisi kuwa single mother, maombi yetu yatawainua na kuwaimarisha.

Mbarikiwe na Bwana Yesu.

Advertisements

3 thoughts on “Maombi

  1. Ahsante kwa hilo, nimeguswa na hili kwani mimi ni mmojawapo wa single mothers with two kids nayopitia nayajua mimi hakika ni rehema za Mungu tu kila siku tuamkayo na kuendelea. Nawaombea single mothers wote watiwe nguvu na uvumilivu kuzidi kumtumainia Bwana wetu Yesu Kristo atuvushe katika magumu. Ubarikiwe sana.

  2. Jamani nashukuru sana kwa hili Mungu anisaidie kuwakumbuka hawa ndugu zetu ambao hata jamii saa nyingine ina walamu. Mungu awe nanyi single mothers inawezekana jamii haiwaelewi na inawalaumu lakini Mungu anawapenda na kuwajali sana na anaona maombi na chozi yenu wapendwa

  3. Kuwa single mother siyo dhambi ni sehemu ya maisha. Wapemdwa tusiwe wepesi kuhukumu wantu wengine. Ni vyema tukawakumbuka ili mungu awavushe katika magumu wanayokutana nayo. Mungu awabariki kwa maombi yenu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s