Fungu la Kumi

Shalom

Watu wengi wanapenda kutoa fungu la kumi lakini wanashindwa kwa sababu wanajikuta wamemaliza hela kwa matumizi mengine. Ni jambo la muhimu sana kujenga tabia ya kutoa fungu la kumi kama kitu cha kwanza kabisa mara tu upatapo mapato yako. Usitumie hela kufanya chochote kabla hujatoa fungu la kumi.

Ukitumia mfumo wa bahasha utakusaidia sana. Hela yako yote iwe kwenye bajeti na usisahau kutenga bahasha ya dharura. Ni wizi kwa Mungu kutokutoa fungu la kumi na utazizuia baraka zako na ulinzi wa Mungu kwa kukosa kulipa fungu la kumi. Ni bora ukose kiatu, kula vizuri lakini utoe fungu la kumi.

Jizoeze kumtolea Mungu kwa furaha, kujikana na kwa moyo wa kupenda na utaziona baraka zake.

Advertisements

3 thoughts on “Fungu la Kumi

  1. Naomba nieleweshwe kuhusu 10% wakati wa Old testament na kwenye New testament?Na nini cha kufanya after New testament.Thanks Woman of Christ.

  2. 19 April 2012
    kiukweli nap[enda sana kutoa fungu la kumi lkn nikishika tu hela ya mshahara daah! uwezi amini ata wazo linatoka kbs nifanyaje?

  3. Ukipata tu mshahara jambo la kwanza Toa fungu la kumi. Unashindwa kwa sababu hujampa Mungu nafasi ya kwanza katika maisha yako. Mtangulize Mungu katika kila jambo na utaona urahisi katika kutoa zaka.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s