Wakaka Kujiaminisha kwa Wadada Kisha Kuwatosa

Shalom
Mara nyingi tumeona wadada wakiumizwa na wengine kupoteza muelekeo baada ya kaka fulani kutangaza ndoa na mtu mwingine. Kaka huyo akiulizwa anasema ‘mimi sijawahi kumtamkia kama nataka kumuoa’, lakini kila siku 22/7 anachat naye ‘umeamkaje dia’,’vipi leo unaenda kwenye mkesha’,’umeshakula, mimi ndio nakula hapa karibu’, ‘niombee sijisikii vizuri’,’usiku mwema’ n.k n.k

Hivi nyie wanaume mnadhani wasichana hawana hisia za kupenda? Kwanini kama huna mpango wa kumuoa unamu-entertain wa nini? Vijana wenye tabia hizi wamewaumiza sana wasichana. Unamuonyesha kwa vitendo kuwa ndio chaguo lako kumbe moyoni una mwingine kabisaa na wewe unajua dada kaingia laini lakini unaendelea tu kumsogeza karibu, siku zote actions speaks louder than words.

Sina maana wakaka na wadada wasiwe marafiki, la hasha bali uwe urafiki wa kawaida na sio wa kuumiza hisia za mtu. Msichana ni mwepesi sana kuumizwa hisia zake na hii ikitokea anaweza kufanya maamuzi mabaya, ni vyema wanaume mkalinda hisia za wasichana. Usimfanye ajisikie special kwako ilhali sio kweli.

Advertisements

4 thoughts on “Wakaka Kujiaminisha kwa Wadada Kisha Kuwatosa

  1. Thanx da Mage. Kwakweli hili limekua tatizo hasa makanisan anaanggalia nani anauwezo tena anadiliki kukuambia nikajitambulishe kwa mama zako wewe unakua mwaminifu sana unajitunza lakini habari unazo sikia nje ni aaibu!ukimuuliza inakua ugomvi anasema usisiskilize maneno ya watu kweli?ila mm nachopenda kuwataadhalisha wakaka kwasababu unapomdanganya hvyo dada na ulitamka ardhi iliskia mbingu iliskia sijui utakataa nn??maana siku ya mwisho Mungu ataita Bahari itoe ushahidi hata mbigu na Ardhi wapendwa MUNGU ANATISHA.usije ukawadanganya wadada ukapata mwiba

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s