Toa Ubarikiwe

image

Shalom

Kuna nguo ngapi kabatini mwako ambazo hujazivaa kwa zaidi ya miaka miwili na bado umeziweka?Viatu vingapi ukivaa vidole vinawaka moto na hutaki kuviachia?Pochi ngapi ambazo hata hukumbuki mara ta mwisho umezitumia lini?Ukija kwenye khanga, hereni, vyombo ndo usiseme. Ni wahitaji wangapi wamekuzunguka ambao ukiwapatia kimoja wataona kama ni muujiza mkuu toka kwa Mungu? Nawe pia kwa kufanya hivyo utapata amani sana moyoni.

Toa kwa muhitaji kama kwa Bwana, naye atazijaza ghala zako kwa chakula mwaka mzima.

Advertisements

4 thoughts on “Toa Ubarikiwe

  1. Kabisa wapendwa umesema kweli, nitafanya Kama ulivyotushauri maana pia kunabaraka

  2. Bwana Yesu asifiwe!!
    2nashukuru sana kwa ushauri wako mana umetugusa wengi.Naamini kila mtu kajifunza kitu hivyo, tutoe ili tubarikiwe!!

  3. Sio kwenye makabati yenu tu angalia na kwa watoto pamoja na mme, huwa ni nguo nyingi sana tunzao makabatini hazivaliwi wala watuwapi wahitaji ; ubarikiwe kwa kutukumbusha.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s