Samahani Wapendwa Nilipotea Kidogo

Shalom

Samahani kwa kutokuweka kitu chochote kipya kwa takribani wiki tatu. Ingawa nilijaribu ku update comments sikufanikiwa pia kuwajibu mliohitaji ushauri. Nipo safarini msibani, mwanzoni mwa mwezi niliondokewa na baba mkwe wangu, namshukuru Mungu kwa kututia nguvu na kutuvusha kwa mkono wake wenye nguvu. Hata sasa yeye ni Ebeneza.

Mungu awabariki, endelea kutembelea hapa, jiunge kwenye page yetu facebook kwa ku-like women of Christ, na nifuate Twitter  Woman of Christ @MaggieRiwa

Advertisements

One thought on “Samahani Wapendwa Nilipotea Kidogo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s