Wema wa Bwana Kwangu Haupimiki!

image

Isaya 63:7 “Nitautaja wema wa BWANA, sifa za BWANA kwa yote aliyotukirimia BWANA; na wingi wa weka wake kwa nyumba ya Israeli, aliowakirimia kwa rehema zake, na kwa wingi wa wema wake.”

Binafsi mistari hii inatoka ndani ya moyo wangu. Nikitazama jinsi Mungu alivyonitendea, pamoja na familia yangu nasema ni kwa wema wake na rehema zake tu. Amenitendea mengi sana, wema wake kwangu haupimiki.

Nikitafakari haya ninakumbuka maneno ya wimbo huu:

Mungu amenihurumia, tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu
Hivi vyote vyatoka wapi, nasema ni huruma tu!

Jina la Bwana wa majeshi liinuliwe sana. Amen.

Advertisements

2 thoughts on “Wema wa Bwana Kwangu Haupimiki!

  1. Huruma ya Mungu ni kuu mno, na upendo wake ni wa ajabu! Hata mimi nina kila sababu ya kumsifu na kumtukuza Mungu wangu, muumba wa mbingu na nchi kwa jinsi ambavyo amenionyesha mambo makubwa, magumu nisiyoyajua maana amefanya njia pasipo kuwa na njia na ameweza kutenda mambo ambayo kwa akili za kibinadamu hayawezekani! Mungu kwangu ni mwema sana!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s