Mtumaini Bwana Ukatende Mema

Zaburi 37:3-6

3Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. 4Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako. 5Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya. 6Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama adhuhuri.

Nakutakia wiki njema yenye baraka za Mungu na ushindi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s