Bwana Atakutimizia Mambo Yako

Ni marangapi umeona kama vile Mungu amekuacha na yupo mbali nawe? Inawezekana matatizo na majaribu yamekuwa ni mengi kiasi kwamba unapoteza tumaini lako kwa Mungu? Ninalo neno la kukutia moyo, Mungu hajakuacha wala hawezi kukuacha labda wewe mwenyewe uamue kumuacha.

Mungu wetu ni mwaminifu sana, na hutenda kwa nyakati na majira yake kinachotupasa ni kumuamini bila kuwa na hofu yoyoye. Usikubali uongo wa shetani, Mungu anakupenda sana na jibu lako li karibu!

Zaburi 138:8

“BWANA atanitimilizia mambo yangu;
Ee BWANA, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.”

Advertisements

2 thoughts on “Bwana Atakutimizia Mambo Yako

  1. Mtumishi Mungu akubariki nimebarikiwa hili neno sana .niko kwenye wakati mgumu sana ila kwa neno hili nimefarijika sana Ubarikiwe sana na Bwana Yesu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s