Kuwatoboa Masikio Watoto

Shalom

Wapendwa mnasemaje kuhusu kuwatoboa masikio watoto wachanga hadi miaka mitano, na pia kuwasuka nywele. Je ni sawa au sio sawa? Na kwa nini?

Ushauri tafadhali

Advertisements

6 thoughts on “Kuwatoboa Masikio Watoto

  1. mi sifikirii kama ni sahihi sana kumtoga mtoto sikio bt kuhusu urembo mwingine kama kumsuka inategemea na umri cause c kila mtoto unamsuka tu inategemea na afya na umri kwasababu watoto wengine wana afya si nzuri sana halafu wanazidi kukomazwa. Ni vyema kumuacha akiwa mkubwa atajiremba mwenyewe.

  2. shalom
    kwa kweli unapotaka kufanya kitu, jiulize kama ungemwomba YESU mwenyewe ushauri angekujibuje..Kuhusu na swala la kutoboa watoto masikio sidhani kama ni sawa..watu wa MUNGU kuna mambo sasa tunaona kuwa ni ya kawaida na tunayafanya bila kumuuliza ROHO MT..biblia inatuonya kuwa tusifuatishe namna ya ulimwengu

  3. kusuka watoto mnawaharibu vichwa vyao, kuna mishipa inasumbuliwa sumbuliwa. tumwache mtoto akue atasukwa tu. mtoto hata asiposukwa anapendeza tu!

  4. kumsuka nywele mtoto ni sawa tu na kumtoboa masikio vilevile mbona hat enzi za akina Musa walikuwa wanafanya hivyo.yaani kumtoboa mtoto mdogo ni vizuri kwa kuwa inasaidia uponyaji wamasio. Hata hilo mimi Daktari nimeligundua… kuhusu kusuka kweli tunaisumbua mishipa fulani ya damu na ya faham hivyo ni bora tumuulize huyo anaesukwa na ROHO WA BWANA.

  5. mimikumtoboa mtoto masikio sioni tatizo ila kumsuka naona sio vizuri kwani wanakomaa sura kama watu wazima

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s