Baba Kumuogesha Bintiye Mchanga

Kuna maswali mengi sana kuhusu baba kumuogesha na kumbadilisha nepi mtoto wake wa kike, nimepata maswali watu wanahitaji kujua kama ni sawa na ni hadi atakapofikisha umri gani.

Advertisements

8 thoughts on “Baba Kumuogesha Bintiye Mchanga

 1. Mimi nafikiri ni sawa kabisa na kwa wale ambao hawafanyi ivyo waanzae haraka.hakuna specific time ya kufanya hivyo ila unafnya wakati wowote kulingana na mazingira.#

 2. Ni sawa na ni haki ya baba kumuogesha bintiye ila inafika kipindi ambacho unaona amekua na sasa anaanza kukosa uhuru /anaona aibu hapo inabidi uache.Lazima hata wewe baba ifike mahali ambapo unaona kabisa kuwa huyu ni binti yangu siwezi kumuambia avue nguo mbele yangu.You need to be a man ALTHOUGH there is NO SPECIFIC TIME.Yaweza kuwa miaka 3 au 4
  vyovyote vile kulingana na upeo/uelewa wa binti yako.

 3. Hi team in Jesus Christ. Binafsi sioni ubaya wa baba kumwogesha binti yake, kama ni baba mwelewa, mwenye maadili na anaejua na kuthamini malezi. Binafsi nimemwogesha mwanangu tangu akiwa na miezi sita hadi miaka minne. Angalau sasa hivi ndiyo amejua kumwambia mama yake au dada amwogeshe.

  Awali alikuwa akinililia na ilibidi niwe namwogesha asbh saa 12.30 ili aende shule. Ukweli ni kwamba, mtoto huyu ametokea kunipenda sana na hakuna ninachomwambia anakataa. Zaidi sana nikimwonya kuwa asifanye kitu fulani, huwa anawaambia hata wenzake kwamba Baba hataki.

  Nimeshuhudia pia kwamba, hata nikiwa kazini, akirudi shule saa 9 huomba simu aongee na mimi. Wanapokula kama mimi sipo, atahimiza, akiwaambia wenzake “msimyime baba yangu chakula”.

  Hivyo, suala la baba kumwogesha mtoto wa kike siyo kitu cha ajabu, endapo baba atajitambua nafasi yake kwa mtoto huyo. Otherwise, kama baba hana maadili, ni hatari kwa mama kumruhusu amwogeshe mtoto kwakuwa atakuwa anamjengea “roho ya uzinzi” hasa pale atakapokuwa anamfanyia ndivyo sivyo anapomwogesha.

  Naomba kuwasilisha

 4. Shalom, ama wa Kristo. Naweza kusema sio vibaya baba kumbadilisha mtoto wake wa kike nepi akiwa mdogo. Lakini kutokana na dunia tunayoishi sasa ambayo haieleweki naona sio vizuri kabisa labda baba huyo awe ameokoka kwelikweli na hofu ya Mungu iwe juu yake vinginevyo sio sahihi kabisa.

 5. SHALOOM.
  Mi pia in real, sioni kwamba baba kumbadili nepi mtoto wa kike au kumwogesha ni vibaya,otherwise HANA HOFU YA MUNGU, akiwa na hofu ya MUNGU Vizuri kama HANA. Mama unapaswa kuwa makini sana sana……..BE BLESSED ALL.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s