Ongea Habari za Mungu na Watoto Wako

image

Kumbukumbu 6:6-7

Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako;  nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.

1. Mkiwa nje mwonyeshe vitu ambavyo Mungu ameviumba.

2. Ukiwa unamlisha, kumwogesha au kumvalisha mweleze kuwa yeye ni zawadi yako toka kwa Mungu.

3. Unapomkumbatia na kumwambia unavyompenda, mwambie pia Mungu anampenda sana.

4. Mweleze juu ya agizo la Mungu la kupendana pale anapocheza na kaka/ dada yake au watoto wengine.

5. Anapokosea mweleze juu ya maagizo ya Mungu na amri zake na kuwa imempasa kuyashika.

6. Mweleze kuhusu ulinzi wa Mungu unapompeleka kulala na anapokwenda shule.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s