Bible Study – Miriamu

Shalom

Kwenye ukurasa wetu wa facebook tunakuwa na bible study kila wiki. Wiki hii tunaangalia maisha ya Miriamu dada wa Musa na Haruni. Soma Hesabu 12:1-5 na kutoka 15:20-21 kisha tueleze umejifunza nini na lipi unahitaji kufafanuliea zaidi.

Karibu tujifunze neno la Mungu pamoja.

Advertisements

5 thoughts on “Bible Study – Miriamu

 1. Enjoyed reading this in Swahili,asante sana! but tell us more about who you are!

 2. Nimebarikiwa sana jinsi ambavyo Miriamu alisema na Mungu. Pia hakusita kuwahimiza akina mama kumwimbia Mungu sababu ametukuka sana.

  Nahitaji ufafanuzi zaidi; Je, Miriamu aliingia nchi ya kaanan. Je, Miriamu aliweza kumwona Mungu tena, katika huduma yake?

 3. Nimebarikiwa sana jinsi ambavyo Miriamu alisema na Mungu. Pia hakusita kuwahimiza akina mama kumwimbia Mungu sababu ametukuka sana.

  Nahitaji ufafanuzi zaidi; Je, Miriamu aliingia nchi ya kaanan. Je, Miriamu aliweza kumwona Mungu tena, katika huduma yake?

 4. Katika kutoka nimeona Miriam akiushangilia utukufu wa Mungu kwa kuimba na kucheza na wanawake baada ya kukausha maji wakapita na adui wakaangamizwa. Huku kwenye Hesabu nimeona jinsi Miriamu alivyomkosea Mungu kwa kumnenea vibaya nduguye hata hasira ya Mungu ikamwakia akawa mkoma. Huyu Miriamu alikuwa nabii mke na katika maisha yake siku za mbele alimkosea mteule wa Mungu kwa kumnenea maneno ambayo yalikuwa chukizo mbele za Mungu.

  Nahitaji kujua je huyu nabii mke aliweza kuingia nchi ya ahadi: Kwani waliovuka katika bahari ya sham, maana hii ilikuwa ni safari ya wanaisraeli wakielekea Kanani nchi ya ahadi Mungu aliyowaahidia.

 5. Asante sana kwa kutushirikisha uliyojifunza.

  Miriam hakuingia nchi ya ahadi, alifariki katika jangwa sehemu ambayo haikuwa na maji.
  Hesabu 20: 1-2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s