Bwana Atafanya Njia

Shalom

Haijalishi umepitia na bado unapitia mangapi. Mungu ameahidi kukupa njia ya kutokea, kukupigania nawe uwe mshindi.

Usiyaangalie unayoyapitia, bali mwangalie yeye aliyeahidi kukuvusha.

Isaya 43:18-19

Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatendaq neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.

Ubarikiwe ma Bwana Yesu unapoendelea kumngoja kwa saburi, maana hakika ataonekana kwako.

Advertisements

3 thoughts on “Bwana Atafanya Njia

  1. Asante sana!Mungu awabariki kwa huduma hii-wapendwa tukumbuke Mungu ndiye aliyetuumba hivyo maisha yetu yeye ndiye muhusika hivyo basi tumtwike mizigo yetu kwa imani ,amen?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s