Mungu Mwaminifu

Zaburi 67

Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
     Njia yake ijulike duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
     Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
     Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
   Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
     Nchi imetoa mazao yake
MUNGU, Mungu wetu, ametubariki.
     Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.

Advertisements

5 thoughts on “Mungu Mwaminifu

  1. Ubarikiwe mama wa Kristo kwa jinsi Mungu anavyoendelea kukutumia kuwaelimisha watu wake, unajiwekea akiba isiyooza. Mungu akubariki maana wapo wamama wengi ambao hata muda wa kuifungua biblia hawana.

  2. MUNGU AKUBARIKI SANA,UJUMBE WAKO UMEKUWA UKINIJENGA SIKU HADI SIKU.UBARIKIWE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s