Malezi ya Watoto

Shalom

Mama mwenye mtoto hata kama upo busy kiasi gani hakikisha unapata japo siku moja katika wiki kumuogesha na kumvalisha mtoto wako. Itakuongezea ukaribu naye na utagundua maisha yake ya kila siku yanavyoenenda hapo nyumbani. Usimalize mwezi hujamuogesha na kumvalisha mtoto wako. Najua wengi wanafanya kazi hadi jumamosi, kuondoka usiku kurudi usiku. Tengeneza desturi ya kuwa jumapili kila kitu kuhusu mtoto/watoto unafanya wewe mwenyewe, trust me hutajuta.

Advertisements

One thought on “Malezi ya Watoto

  1. Mimi ni mwanamke wa kiislamn namshukuru mungu kuzaliwa na kua muislam, japo ni muislam lakini nimezipenda mada zako mbalimbali mbali zinazohusu jamii kama vile ndoa, malezi ya watoto, wanaume na wake zao just to ment, yaani mbali zinazohusu ukristu,mungu akuzidishie elimu na afya . Inshallah

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s