Heri ya Mwaka Mpya 2013

Shalom

Heri ya mwaka mpya wapendwa. Mungu mwaminifu ametuwezesha kuufikia mwaka huu mpya, ni kwa neema tu. Kila mmoja wetu amepitia mambo mengi katika mwaka uliopita, ya kubariki na kuhuzunisha, kufariji na kukatisha tamaa, kuinua na kuvunja moyo lakini katika yote tumeuona mkono wa Bwana ukitutetea na kutulinda.

Usiyaangalie yale yaliyokuvunja moyo au uliyoshindwa kuyakamilisha, Mungu anakwenda kufanya jambo jipya katika huu. Atakwenda kupigana na adyi zako, kukubariki, kukulinda na kukuvusha katika magumu yote.

ISA. 43:16, 18-19

BWANA asema hivi, yeye afanyaye njia katika bahari; na mahali pa kupita katika maji yenye nguvu; Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani

Advertisements

3 thoughts on “Heri ya Mwaka Mpya 2013

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s