Muongozo wa Maombi

image

Unapoanza mwaka mpya, ni vyema ukawa na utaratibu wa kuandika maombi yako ya kila siku na shukrani zako. Siku yakijibiwa unaweka kumbukumbu pia. Anza sasa usisubiri mwisho wa mwaka ndio uanze kukumbuka Mungu amekutendea nini na nini. Kitabu hiki ni muafaka kabisa kwa kazi hiyo na kina mistari ya kukutia moyo katika kila hali utakayopitia. Kwa watu wa Dar vinapatikana Christian Contemporary Bookshop Survey njia ya kwenda chuo kikuu, mbele kidogo ya mlimani city kwa bei ya sh 7000 tu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s