Bwana Anataka Nini Kwako?

Kumbukumbu 10:12-13

Na sasa, Israeli, BWANA, Mungu wako, anataka nini kwako, ila umche BWANA, Mungu wako, na kwenda katika njia zake zote, na kumpenda, na kumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;  kuzishika amri za BWANA na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?

Bwana anataka nini kwako? Je, sadaka zako? Bwana anataka ufanye yafuatayo..

1. Kumcha Bwana
2. Kwenda katika njia zake zote
3. Kumpenda kwa moyo wako wote na roho yako yote
4. Kumtumikia
5. Kuzishika amri zake na sheria zake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s