Unaielewaje mistari hii
WIM. 2:7
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
Advertisements
Unaielewaje mistari hii
WIM. 2:7
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
shalom! mimi hii mistari ninaielewa kwamba vijana wote wasichana na wavulana tusijiingize katika vitendo vya ngono au mapenzi kabla hatujajipanga vizuri kimaisha mfano kama wewe ni kijana mwanafunzi wa chuoau sekondari hutakiwi kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi au vitendo vya ngono mpaka utakapohitimu masomo ukatafuta kazi ukapata ndio unatafuta mchumba sawasawa na neno la Mungu.Amen Barikiwa na Bwana Yesu
Shalom mama wa Kristo, nimlivyomwelewa mwandishi ni kuwa usianze mapenzi kabla ya wakati wake, subiria hadi hapo utakapoolewa ndipo utakapojipatia kibali kwa Mungu pia.
Kila jambo na wakati wake na kila aaminie na kuzishika amri za Mungu hana budi kuzingatia hayo!