Usafi ( Purity)

Shalom Wapendwa mabint wa kristo, uwe makini sana usije mkosea Mungu kwa jinsi unavyo-chat na mchumba wako. Mtu uliyeokoka lazima uwe safi katika usemi, mwenendo, mawazo na mesage zako unazochat..Je, mesage unazochat na mchumba wako zinamtukuza Mungu, au zinakufanya na kuwafanya mumkosee Mungu kwa mawazo?Jitunze nafsi yako na uwe safi.

Pia ni vyema mwanandoa ukafahamu kuwa wewe haupo single tena, itunze heshima yako na mwenzi wako kwa kuepuka mahusiano ya kupitiliza na jinsia nyingine. Jambo hili lipo sana maofisini, mtu anajisahau kabisa kama ni mke/ mume wa mtu. Kuna haja gani ya kuchat na mtu facebook, watsupp, sms kila siku kila mara na hamna issue ya kikazi ya kuzungumza??? Kwa hali hii wengi wamejikuta wakiwasaliti wenzi wao kihisia ( emotion infidelity)..

Advertisements

One thought on “Usafi ( Purity)

  1. ni kweli kabisa. Kama umeoa au kuolewa sioni haja ya kuchati na mtu mwingine asiye mwenzi wako. Na inafikia hatua sasa meseji mnazotumiana, zinaanza kuondoka kwenye ukawaida hatimaye mnaombana mapenzi. Jamana tuwe makini, huu utandawazi unakuja kutimiza maandiko, angalia usiwe mmoja wa wanaotimiza hayo maandiko ya unabii.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s