Makuzi ya Watoto

Mfundishe mtoto wako kazi tangu mapema, mtoto wa kuanzia miaka minne lazima ajue akimaliza kula anatoa vyombo vyake na kupeleka jikoni, akivua nguo anaweka mahali pa kuweka nguo chafu na sio kutupa kila mahali, akimaliza kucheza toys zake aweke mahali pamoja na sio kuziacha zinazagaa nyumba nzima. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo…

Wazazi ambao wenye watoto wanaosoma, Je huwa unaangalia madaftari ya mwanao? Umewahi kumpa homework yako na kumsimamia ukiacha anayopewa shuleni? Unafahamu kiwango chake cha uelewa au tu kwasababu anaweza kuongea na wewe kiingereza basi hujali kama anajua kufanya hesabu, sayansi, kusoma kulingana na darasa lake?

Wazazi siku hizi tupo busy, homework anaachiwa dada wa kazi ndio asimamie mtoto anaishia kuangalia katuni siku nzima. Una ratiba yoyote ya kumkeep busy mtoto wako wakati wa likizo au ndio katuni akiamka hadi muda wa kulala?

Advertisements

2 thoughts on “Makuzi ya Watoto

  1. nimevutiwa na maelezo haya maana wazazi wengi wanajikeepbusy na kazi wanakosa hata muda wa kujua maendeleo ya watoto wao zidi kutufundisha tuzidi kutanuka akili zidi ya malezi ya watoto zetu.Asante

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s