Kuanzisha Mahusiano Baada ya Mengine Kuvunjika

Shalom

Vijana wengi wamejikuta katika mahusiano na hata ndoa na watu wasiowataka wala kuwapenda kwa sababu hawakujipa muda wa kuheal baada ya mahusiano ya mwanzo kuvunjika. Mara baada tu ya kuvunja mahusiano wanaanzisha mapya na mara nyingine kufunga ndoa kwa haraka wakitaka kujionyesha kwa yule waliyeachana naye kuwa yupo happy wakati kiuhalisia bado hajapona jeraha lake.

Usiingie kwenye mahusiano na mtu mwingine kabla hujapona jeraha la kuvunja mahusiano. Pale utakapopona na kugundua kuwa haupo na mtu sahihi inaweza kuwa too late kurudi nyuma.

Usianzishe mahusiano wala ndoa ili kumuonyesha mtu fulani kuwa umesha msahau na umepata zaidi yake, itakuja kula kwako…

Advertisements

4 thoughts on “Kuanzisha Mahusiano Baada ya Mengine Kuvunjika

  1. Ni kweli kabisa hasa kwa sisi vijana wa kileo ambao tunaenda na wakati…Kuvunjika kwa mahusioano imekuwa kawaida sana siku hizi.Watu si waaminifu,wengi hupenda kucheza na mioyo ya watu,kupotezeana muda.
    Hivi kama mtu ulijua kabisa huwezi kuishi naye kwa nini ulianzisha uhusiano naye,Haya ndio yaliyopo katika kizazi cha sasa.Je na wazee wetu wazamani waliishi hivi?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s