Mungu Anasikia Maombi

Mungu anasikia Maombi. Mungu anajibu Maombi. Usiache kuomba, usikate tamaa, usivunjike moyo. Haijalishi umeomba kwa miaka mingapi, haijalishi mazingira yanasema nini, Mungu ni mkuu kuliko kila hali na kila jaribu. Omba bila kuchoka wala kukata tamaa na Mungu anakwenda kukupa haja ya moyo wako.

KUT. 3:7-8 “BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.”

BWANA amesikia kilio chako, atashuka na kukuokoa na watesi wako na kukupeleka nchi yenye maziwa na asali.

Endelea Kuomba kwa bidii.

Advertisements

2 thoughts on “Mungu Anasikia Maombi

  1. Mathayo 18:18

    Nayo inasema: Nitakapofunga milango ya mbinguni hakuna atakayefungu, nikifunga hakuna afunguaye.

    MUNGU ATUONE NA ROHO MTAKATIFU AWE NJIA YA UZIMA NA KWELI

    Says:

    Baby Lucy.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s