Uvumilivu 2

Tunapomalizia kujifunza kuhusu uvumilivu, kila mmoja wetu aandike kwenye notebook au diary au popote unapoweza kuhifadhi vizuri mambo kumi ambayo kwayo unamngoja Bwana kwa saburi huku ukiomba. Andika na uendelee kuyaombea utaona jinsi Mungu anavyojibu moja baada ya lingine. Yanaweza kuwa mfano: kupata mtoto, kujifungua salama, kupata mwenza, maono ya jinsi ya kumtumikia, uponyaji binafsi, uponyaji ndugu, kufunguliwa, biashara na mengine mengi kutokana na uhitaji wako.

Zaburi 27:13-14 “Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANA katika nchi ya walio hai. Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s