Tunda la Roho – Kiasi

Kuishinda nafsi ndio maana halisi ya kiasi. Kuwa na uwezo wa kuitawala nafsi na mahitaji yake, kuitanguliza roho kwanza maana ndiyo yenye uzima. Uwezo huu unapatikana chini ya msaada wa Roho mtakatifu, vinginevyo haiwezekani. Roho mtakatifu anatuwezesha kuikagua nafsi, kuitawala na kuizuia pale inapotaka kwenda kinyume, kuifundisha jinsi ya kuenenda na kutuwezesha kusema Hapana kwa nafsi.

Kiasi ni muhimu sana katika maisha yetu. Hutuwezesha kuepuka dhambi, kuepuka tamaa mbalimbali na hata magonjwa yanayotokana na vitu tunavyokula bila kiasi.

Watu hushawishika kufanya biashara haramu au kuibia kampuni kwa sababu ya kukosa kiasi, wanataka kupata kila kitu hata wasivyohitaji. Unapodhani furaha yako inatokana na vitu ulivyonavyo, ni rahisi kukosa kiasi. Tambua furaha yako inatokana na wewe kumjua Mungu wa kweli ambaye ndiye furaha ya kweli.

Zaburi 101:3 “Sitaweka mbele ya macho yangu neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia haitaambatana nami.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s