Mtihani wa Somo la Tunda Roho

Shalom

Baada ya somo letu, kulikuwa na zoezi la kufanya ili somo lieleweke kwa vitendo. Mtihani huu ni kwa wale waliofanya zoezi lile. Kama hujaliona pitia post za nyuma ukamilishe kwanza zoezi ndipo uweze kufanya mtihani huu.

Andika kwa kifupi jinsi ulivyoonyesha utu wema na fadhili kwa mtu mwenye uhitaji au aliyekukosea au asiyetarajia.
1. Alipokeaje tendo hilo na wewe ulijisikiaje baada ya kufanya hivyo.
2. Changamoto gani ulipambana nazo ndani yako kabla ya kufanya hivyo.
3. Umejifunza nini kutokana na jambo ulililifanya kwa mtu/watu hao?

Watu watatu wa kwanza kuandika watapata zawadi ya kitabu cha muongozo wa maombi…

Mtihani mwema, hakuna kugelezea hahahaaa

Advertisements

One thought on “Mtihani wa Somo la Tunda Roho

 1. Shalom

  Jibu Kamili:

  1. Si tendo jema kwangu mimi na yeye.

  2.Changamoto kubwa niliyojifunza kwamba siri yako usimwambie mtu, wala usimsujudie mwanadamu, chuki duniani zipo bali lile lililojema mwanadamu asiye na cheo usimsumbukie.

  3. Fundisho nililonalo kwamba mtu/manadamu si mwema hata siku moja. Toa tu inapobidi lakini hakuna faida wala wokovu ndani yake.

  MAONI:

  SAMEHE SABAB MARA SABINI ILI NAWE UWEZE KUSAMEHEWA DHAMBI ZAKO.

  Asemaye: Lucy M.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s