Upendo wa Kweli Husamehe

Hata kama jambo ulilotendewa linachoma kama moto, upendo wa kweli husamehe kabisa. Nimevutiwa na upendo wa ndugu mmoja aliyemsamehe mke wake aliyekuwa anatembea na mdogo wa mume wake kwa miaka tisa mfululizo bila mume kugundua. Huu ni upendo wa ajabu sana, upendo wa kuMungu, agape ambao hauhesabu makosa.

Ni jambo gani hilo umetendewa ambalo unaapa kila siku kuwa kamwe huwezi kusamehe? Kusamehe hakumaanishi huyo mtu hajakosea, la, bali kunaonyesha upendo wako ulivyo mkubwa kuliko jambo lolote. Kusamehe kunakuweka huru maana kinyongo, kutokusamehe na visasi vinakufanya uwe mtumwa.

Mungu atusaidie maana si kwa uwezo wala nguvu zetu bali ni kwa Roho Mtakatifu.

2 thoughts on “Upendo wa Kweli Husamehe

  1. naitwa irene namshukuru mungu kwa vilei anavyo kutumia kueneza habari njema ili kufikia watu kama mimi wanaoitaji mafundisho, yote najaribu kupitia lakini wakati mwingine mda wangu unakuwa mdogo sana sababu ya kazi.nasikia kubariwa sana ila nina swali ambalo nitofauti na mada iliyoko saa hizi.je ni dhambi kupanga uzazi sababu njia zote ninazoelewa ni kuuwa kila mwezi je naweza kuwa namtenda dhambi muumba wangu?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s