Utoaji Mimba Kwenye Ndoa

Hili ni jambo linalosikitisha sana lakini linatokea tena hata miongoni mwa waaminio. Kuna wanandoa huamua kutoa mimba pale wanapoona mke amepata ujauzito wakati ana mtoto mchanga au wanapokuwa hawahitaji tena mtoto mwingine. Kutoa mimba ni dhambi na ni uuaji, haijalishi upo kwenye ndoa au la.

Mungu pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu, hauna mamlaka kabisa ya kukatisha uhai wa mtu yeyote hata kama hana uwezo wa kujitetea. Hakuna mtoto anayezaliwa kwa bahati mbaya, Mungu anakusudi na mtoto huyo tangu siku ya kwanza amemuweka ndani ya tumbo la mwanamke.

Mungu aturehemu sana katika hili, kama wewe ni mmoja wapo tubia dhambi hii kwa machozi mbele za Mungu na uombe rehema kwako na kwa watoto wako.

Advertisements

3 thoughts on “Utoaji Mimba Kwenye Ndoa

  1. Ni kweli, ni vibaya na dhambi kutoa mimba. Tunatakiwa then kuzuia mimba ambazo hatujazipanga. Naomba nisaidiwe njia zipi ni salama kwa uzazi maana kuna uwezekano mkubwa wa kubeba mimba bila kupanga na nimeona couples wengi ikiwatokea na kuwatia majaribuni sana. Unajisikia vibaya na hata kiafya sio nzuri kwa mama so NISAIDIWE njia za kupanga uzazi

  2. Ni kweli, na kuna njia nyingi salama za upangaji uzazi zikiwemo za asili. Muone muuguzi upande wa afya ya uzazi utapata maelezo ya kitaalamu ya kukusaidia kulingana na mwili wako. Wanapatikana upande wa klinic na ni wazuri kwakweli usiogope kuongea nao.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s