Epuka Mazungumzo Mabaya

Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. Ni mambo gani unaongea na marafiki zako? Ni nini huwa unachat usiku na mchana kwenye simu na facebook? Ni page gani una like na kuzifuatilia kila siku? Unajua unaweza kuona hili ni jambo dogo, lakini tambua kuwa unacholisha akili na moyo wako ndivyo vinavyojenga tabia na mwenendo wako.

Wakati unasoma, kuongea na kuchat mambo yasiyofaa unaweza kujipa moyo kuwa wewe umekomaa kiroho huwezi kuyumbishwa lakini kumbuka unavyozidi kuyaweka akilini na moyoni bila kujijua utajikuta umwanguka. Biblia inasema linda sana moyo wako kuliko chochote ulindacho maana ndipo zitokazo chemchem za uzima. Unalindaje moyo wako? Kwanini unaruhusu mazungumzo mabaya kuharibu moyo wako?

Filipi 4:8 Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.

Advertisements

One thought on “Epuka Mazungumzo Mabaya

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s