Usihukumu, Muombee

Mathayo 7:1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Marangapi umemsema mtu vibaya na kumtangaza kwa watu kuwa si mwema, sio mwaminifu na mdhambi? Umekuwa hakimu wa kumhukumu mtu na kumtangaza vibaya kwa watu. Sawa, hatakama ulikuwepo wakati akitenda dhambi hiyo au kosa hilo, je unauhakika gani kama hajaenda mbele ya kiti cha rehema kutubu na  kuomba msamaha na Mungu ameshamsamehe? Mungu aliyesahau dhambi yake, wewe ni nani hata uishikie bango?

Tutahukumiwa kwa maneno ya vinywa vyetu. Badala ya kumsema na kumtangaza vibaya muombee ili neema ya Mungu iwe juu yake. Hata kama wewe ni mkamilifu kiasi gani, hauna mamlaka ya kumhukumu mtu yeyote. Mueleze kweli ya neno la Mungu na kisha endelea kumuombea.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s