Usitulie, Umepewa Agizo

YER. 47:7a
“Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo?”

Je, wewe ni mmojawapo wa waliopewa agizo na BWANA? Unajua ni agizo gani umepewa na unalitendea kazi?

Ester hakujua amekuwa malkia kwa sababu gani hadi mordekai alipomkumbusha na hakutulia hadi amelitimiza. Dorcas alitambua agizo lake ni kuhudumia wajane, hakutulia hadi mauti yalipomkuta. Lydia alipomjua Mungu na Mungu akampa agizo hakutulia hadi alipohakikisha Paulo na wafuasi wake wamepata mahali pa kufikia na kupumzika.

Biblia inamifano mingi ya wanawake ambao walitambua wamepewa agizo na Mungu na hawakutulia hadi wameyakamilisha. Miriam, Debora, Jeochebed, Ruth, mwanamke mshunami, mke wa manoa n.k. Hapo ulipo kazini, kwenye familia, kanisani, kny kikundi n.k kuna agizo Mungu amekupa na amekuweka hapo kwa sababu. Usitulie, Mungu amekupa agizo, lifanyie kazi.

EZR. 10:4
Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende.

Advertisements

4 thoughts on “Usitulie, Umepewa Agizo

 1. Shalom.

  EEEEEEEEEEEEE nimepewa agizo tena lina nguvu kwa sababu linahusu nchi nzima.

  Nina furaha kwa sababu nimelifanyia kazi NIMEWEKA APPOINTMENT YA KUMWONA GAVANA SIKU YEYOTE!!!!!!!!!

  Nina imani kuwa nitapata.

  Ninamshukuru mungu kwa kuwa anaweza kunipa hata mm mtu mdogo mwenye ELIMU ya FORM IV.

  mungu anijalie amani tu pale ninapotenda au kufanya kazi zake. Anipe uweza wa kujitambua mm ni nani, kujifahamu na uzima wa milele ambao yeye anao uweza nao.

  Anakupenda Nsongo K. M.

 2. Shalom, ina specialized mafundisho kwa ajili ya wanawake lakini pia yapo mengi ya kuwafaa watu wote. Karibu sana

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s