Bwana Ndiye Atusaidiaye

Mungu akutangulie unapoianza wiki hii nyingine. Mtumaini Bwana katika kazi zako zote. Usikate tamaa wala kuvunjika moyo, unapopitia magumu usijeshawishika kumkosea Mungu ili kujinasua. Mche Bwana, ukatende mema naye atakupigania.

Waebrania 13:5-6

“Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa. Hata twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiaye, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s