Olewa kwa Mpango wa Mungu…

Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
Usiolewe sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
Usiolewe ili uonekane umeolewa.
Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito.
Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
Usiolewe sababu unaona umri unakwenda.
……
Ndoa sio jumuia, ndoa sio destination, ndoa sio zawadi kwa wazazi, ndoa sio social status, ndoa sio watoto, ndoa sio kuondoa nuksi..

Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuolewa, umempata mtu sahihi mnayependana kwa dhati, umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote..

Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto. Mngojee Bwana na hakika hatakuacha wala hajakusahau.

3 thoughts on “Olewa kwa Mpango wa Mungu…

  1. Endelea kutuombea ambao bado hatujapata wenza. Mahusiano ni magumu yanakatisha tamaa. lakini naamini kwa jina la yesu tutashinda.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s