Kipepeo Hutafuta Ua Lenye Harufu ya Kuvutia

Wasichana wapendwa… Mwanaume hakamatiki kwa kumpa mwili wako auchezee. Mwanaume hakamatiki kwa kushika mimba yake.
Mwanaume hakamatiki kwa kumpikia na kumfulia.
Mwanaume hakamatiki kwa kuacha kifua na mapaja wazi.
Mwanaume hakamatiki kwa makeup zilizopitiliza.
Mwanaume hakamatiki kwa kumnunulia gari na kumpa fedha za matumizi.

Hayo yote hayawezi kukufanya umpate mume, au umkamate mwanaume, zaidi yatakuletea maumivu ya moyo…

Wewe ni wa thamani sana, ni ua, haupaswi kukimbiza kipepeo bali vipepeo ndio wakutafute hadi wakupate. Kipepeo haendi kwenye ua lisilo na harufu ya kuvutia.

Harufu ya tabia njema na bidii ya kazi.
Harufu ya kumpenda na kumcha Mungu.
Harufu ya kujiamini, kujithamini na kujiheshimu.
Harufu ya kuwajali wengine na ukarimu.
Harufu ya usafi wa moyo, maneno, tabia na mwonekano wa nje.

Hakuna haja ya kutafuta kumkamata mwanaume, kwa harufu hizi za kuvutia mwenyewe atajikamata kwako.

Advertisements

7 thoughts on “Kipepeo Hutafuta Ua Lenye Harufu ya Kuvutia

  1. ni kweli Magreth hatukamatiki kwa hayo uliyosema ila TUNASHAWISHIKA na ili UKAMATIKE sometimes inabidi USHAWISHIKE kwanza…..ila kwa kweli waambie mabinti wapunguze makali ya kutushawishi maana ni hatari sana tunakoelekea…watushawishi kwa kiasi tu isiwe kupitilizia!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s