Vitu vya Kuendea Honeymoon

Ni watu wachache wanaopata ushauri wa nini chakuandaa kwa ajili ya kwenda navyo kwenye fungate. Watu huwa busy na harusi, nani atavaa nini nk na kuwaachia maharusi peke yao jukumu zima la maandalizi ya fungate. Ndiyo, jukumu la kuandaa fungate ni la maharusi, ila sababu wote ni wageni katika suala hili ni lazima wapate ushauri wa nini cha kuandaana nini cha kubeba ili wasije kupungukiwa na kitu au kubeba vitu visivyo na ulazima. Hapa nimeandaa listi ya vitu ambavyo unapaswa kuwanavyo kwa ajili ya fungate, unaweza kuprint na kutick pale unapokuwa tayari kwenda honeymoon.

Vitambulisho na dokumenti muhimu

    Passport na IDs
    Leseni ya udereva
    Kadi za ATM
    Uthibitisho wa bookings za hoteli n.k
    Tikets
    Notebook yenye namba muhimu

Dawa

    Dawa za kupunguza maumivu
    Dawa za kuzuia kuharisha
    Dettol
    Gozi na pamba
    Dawa zozote unazozitumia

Personal Care

    Dawa ya mswaki na mswaki
    Sanitary pads
    Vipodozi unavyotumia
    Pafyumu na deodorant
    Tissue papers
    Chanuo na kitana
    Nail clipper
    Wet wipes
    Sabuni ya kuogea na dodoki
    Losheni na mafuta
    Vipanio vya nywele
    Taulo
    Sandals
    Intimacy jelly
    Pamba za masikioni

Nguo

    Nguo za kutosha kulingana na hali ya hewa unakoelekea na muda utakaokuwa huko. usibebe nguo za kiofisi (formal), chukua nguo za kukufanya uwe confortable (casual).
    Nguo za ndani za kutosha (wekeza kwenye nguo nzuri za kuvutia).
    Viatu vyepesi vya kuvaa
    Nguo za kuogelea (kama mtapendelea)
    Doti ya kanga / kitenge

Mengineyo

    Shuka
    Kamera na betri / charger
    Simu za mkononi na charger (msiwashe simu hadi siku ya kuondoka)
    Sindano na uzi wa kushonea
    Mkasi mdogo
    Handbag

Natumaini maelezo haya yatakuwa msaada kwa mtu anayetarajia kwenda fungate.

Ubarikiwe na BWANA Yesu!

3 thoughts on “Vitu vya Kuendea Honeymoon

  1. mbarikiwe sana kwa kazi nzuri mnayofanya kwa mafundisho ya msingi sana yenye msingi wa neno la mungu. Kiukweli sisi kama wana wa mungu tunajivunia. Mungu awatie nguvu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s