Fanya Kazi Kwa Uaminifu Utafanikiwa

ZAB. 37:1-5
“Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili.  Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.  Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.    Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako.    Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.”

Watu wengi wanakata tamaa na kuingia majaribuni wanapoona wengine wanafanikiwa kwa njia zisizo halali. Usiwaangalie hao na kutamani kuwaiga, wewe fanya kazi kwa bidii na uaminifu, mche Bwana na hakika mafanikio utayaona. Usijaribu kutafuta shortcuts na kumkosea Mungu. Mafanikio yenye amani na furaha hupatikana kwa Mungu pekee.

MIT. 13:11
“Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa.”

MIT. 14:23
“Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu.”

Advertisements

One thought on “Fanya Kazi Kwa Uaminifu Utafanikiwa

  1. hili andiko la mithali 13.1 nlikuwa sijawahi kuliona….jamani Mungu akubariki womenofchrist…
    nimejengwa sana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s