Usichoke Kutenda Mema

Umekata tamaa, umevunjika moyo. Wale uliowatendea wema kwa moyo wa ukarimu wamekurudishia laumu, umejitoa kwa ajili yao lakini hawathamini ulichokifanya. Usife moyo, hujafanya kwa wanadamu bali kwa Mungu. Unapotenda wema usitarajie malipo toka kwa wanadamu maana utaishia kukata tamaa, wewe mwangalie Mungu na kutenda kwa kulitimiza neno lake na sio kutafuta kusifiwa na wanadamu.

KOL. 3:23-24
“Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.”

GAL. 6:9-10
“Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s