Maombi ya Usiku

Shalom,
Kuna watu wanahitaji watu wa kuomba nao maana maombi ya pamoja yananguvu sana. Sasa nimeona wale wote wanaohitaji maombi ya pamoja tutakuwa tunaomba kila siku usiku kila mtu nyumbani kwake ila kwa wakati mmoja na prayer points za kufanana. Ili kuleta umakini wale wote ambao wako tayari kuomba kila siku kwa nusu saa usiku maana najua wengi tunawahi kazini asubuhi hivyo hatutaweza kuomba muda mrefu, kuanzia saa nane hadi nane na nusu usiku. Tuwasiliane 0784598375 kwa ajili ya kutuma prayer points na kuamshana nami nitazituma kwa watu wote ila sitaweka jina lako. Tutangalia na siku za kufunga pia. Kama una wazo lolote la kuboresha karibu ulitoe hapa ili tuweze kuwa effective.

Maombi ya mwenye haki yafaa sana hasa akiomba kwa bidii. Mbarikiwe.

Advertisements

79 thoughts on “Maombi ya Usiku

 1. Shalom wapendwa,
  Bwana Yesu awabariki kwa kazi hii njema.
  Ninapenda kujumuika nanyi kwa maombi ya usiku, ila kwa sasa nipo nje ya nchi mpaka mwezi wa tisa ndiyo nitakuwa nimerudi. Sitaweza kuwasiliana nanyi kwa simu ninaweza kuwasiliana nanyi kwa email kwa sasa. Je naweza kuanza nanyi hata kwa mazingira haya? Nikwawa natumiwa maeneo ya kuombea kwa njia ya email.
  Mbarikiwe.

 2. habari dada,yaani ni wazo zuri sana,naliunga mkono,nakutumia sms now kwenye namba uloiweka hapo,tupo pamoja sana,Mungu aendelee kukutumia dada.

 3. this is very powerful dada, Mungu azidi kukuinua katika kuifanya kazi ya Mungu.
  tupo pamoja na nipo tayari kwa maombi haya.
  Angela

 4. I’m Joseph Timoth of ministries of repentance and holines karibuni sana Tushiriki neno la Mungu katika majira haya ya hatari sana nami napenda sana kuurithi uzima wa milee.

 5. na mimi nataka kushiriki maombi haya je nimechelewa na nipo pia nje ya nchi napenda tungewasiliana kwa email..!!

 6. Asante kwa maoni yako, sasa ndugu umeandika namba zako za simu ila hauku andika Cod ya nchi, kama unavyo juwa hizi comment zina somwa na watu wakiwa nchi tofauti.

 7. Kristo apewe sifa wapendwa nami pia naomba kuwa mmoja wa washiliki
  namba yangu 0714 592 012/0654 059 117

 8. Mbarikiwe nami napenda kujiunga na maombi ya husiki kwani peke yangu mara nyingi nashinda huwa naamka mara moja moja sana namba yangu ni 0655 938606

 9. Namimi pia napenda kujiunga na maombi haya ya usiku, tuwe na maonao na mchana pia, kwani ndio mradi ulio bora kuliko miradi yote ambayo mwanadamu angaliweza kufanya chini ya jua. chakula cha maombi ni bora kuliko vyakula vyote, ni heri kupewa kadi ya mwaliko wa maombi kuliko kadi ya mwaliko wa harisi au sherehe. mbarikiwe. am philemon mfangavo 0754423898

 10. Mungu akubariki/kuwabariki sana kwa hii huduma natamani saaana kushiriki lakini nipo nje ya nchi je naweza kushiriki kwa namna yoyote ile….labda kupewa prayer point then kwa huohuo mda nyie mnaanza nami nakua nanyi.

 11. Amen unaweza, nitumie email yako ili kama upo Facebook nikutumie link ya page ambayo huwa tunapost prayer points kila siku

 12. Mnarikiwe sana,
  Nami napenda kujiunga nanyi kwa maombi ya usiku. kwani biblia inatuambia tuombe bila kukoma. hapa chini ya jua ni ubatili mtupu. ni vyema kuutafuta ufalme wa Mungu. Maisha tuishiyo hapa duniani ndiyo maandalizi ya maisha ya dunia ijayo. hivyo ni vyema tukaishi maisha ya kumtegemea Mungu saa zote ili tuyatengeneza maisha yetu ya baadae. email yangu ni mildredtztz@yahoo.com au kisamilly@gmail.com mob. 0713 311 876
  Bwana awabariki sana

 13. mimi naitwa mama Lucas nami pia ninapenda kujiunga katika huduma hiyo namba yangu ya simu ni 0713 408283

 14. Hellow! Bwana Yesu asifiwe watu Mungu naitwa Mr Edward naomba nishiriki nanyi katika maombi hayo namba yangu 0763887472 napatikana Dsm mbezi juu Mungu awatie nguvu ya kusonga mbele.

 15. amen!!!!
  Nami nawaunga mkono kwa maombi ya usiku ni maombi yanayopokelewa haraka kuliko maombi yote nipo pamoja nami maryanne 0752895961

 16. Shallom
  Namshukuru Mungu kwa huduma hii imenifundisha sana nakunitia moyo kwa mapito ninayo pitia.
  Mungu awabariki sana.

 17. Na mimi naomba kujiunga na sala yausiku niko Bagamoyo mji mdogo wa Chalinze. Simu No 0762691757. Mungi awabariki

 18. Bwana Yesu Kristo asifiwe, nami naomba kujiunga namba yangu ni 0715706850 – Pendo

 19. Mumy plz nimependa sana hili wazo plz niamshe leo mpendwa na Mungu atakubariki 0686002323

 20. inuka ulalamike USIKU mwanzo wa makesha yake mimina moyo wako kama maji usoni pa Bwana umwinulie mikono yako kwa uhai wa wtoto wako wachanga wazimiao kwa njaa mwanzo wa kila njia kuu. tuko pamoja dada wa Mungu. naitwa Irene

 21. Mbarikiwe na bwana ktk kuitenda kazi yake nami niko tayar kwa maombi ya usiku naomba kuunganishwa namba yangu 0764097854

 22. Shalom watu wa Mungu,nimefurahia namna kina mama wanavyoungana katika kuutafuta uso wa Mungu.na mm ninaomba kuungana pamoja nanyi katika kuutafuta uso wa Bwana.

 23. ahsante sana dada napenda kushiriki maombi haya, namba yangu 0764796689 au 0783231764

 24. Napenda kujinga katika maombi ya usiku.000254727756821. Mubarikiwe sana.

 25. maombi ya usiku yana nguvu sana,umo ushindi na kujibiwa kwa ajabu, ni wakati mzuri wa kusogea mbele za Maungu.nipo tayari kuwa pamoja nanyi wapendwa

 26. MIMI NIMEPENDEZWA NA GROUP HILI SANA…HIVYO NAPENDA KUJIUNGA NA TIMU HII YA MAOMBI. NO. 0756 337308..
  MAPENDEKEZO..TUKIBORESHE KIKUNDI KWA KUFANYA MAOMBI MASAA 3 KUANZIA SAA 6 HAD 9…AU TUPANGE SIKU MAALUMU ZA KUFANYA HIVYO.MBARIKIWE

 27. Wah i have been looking for such a group i hope mtarecruit 0721865526 nahitaji maombi sana

 28. bwana yesu asifiwe wapendwa naitwa mama vanessa napenda kujiunga nanyi kwenye maombi hyo ya usiku.namba yangu 0762345954

 29. Ni Wazo zuri sana nami nawaunga mkono, pia ni fursa adimu. Je Utaratibu bado unaendelea? maana nimeona kwa kuchelewa but ntatuma simu yangu kujoin.

 30. SHALOM. nami pia napenda sana maombi ya usiku lakini shinda yangu kubwa ni kuvifia sana na kutaka sana maombi ya haraka haraka, lakini kipawa ninacho ila tu mambo mengi kama kazi ngumu zinanizuilia sana, hivyo nahitaji kuwa nanyi. 0726005605.

 31. Mungu akubariki sana mtumishi kama nitapata kibali kwako natamani niwe mmoja wenu Na yangu ni 0715 385 600

 32. mungu awabariki sana kwa kazi nzuri yakumualibu shetani namajeshi yake katika maisha yetu napenda kuungana na nyie kwenye maombi 0744633686 veronica elias

 33. veronica. napenda kujiunga namaombi ya usiku namba 0744633686.mbarikiwe sana

 34. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu tuungane katika kuomba namba yangu ni 0769716296

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s