Mungu ni Kimbilio

ZAB. 46:1-3, 7-11

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.  Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.  Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.  BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.  Njoni myatazame matendo ya BWANA, Jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.  Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.  Acheni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.  BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

2 thoughts on “Mungu ni Kimbilio

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s