Mahusiano ya masafa / Long distance relationship

Leo napenda tujadili. Hivi mahusiano na uchumba na mtu mnayeishi miji au nchi tofauti yanawezaje kufanikiwa na hatimaye mkafunga ndoa na je athari zake ni zipi. Hapa naongelea wale mliokutana mkiwa mbali mbali na mnaonana mara moja kwa miezi kadhaa. Mmekutana mfano ulienda safari ya muda mfupi ukakutana naye na mkapendana, au kwenye semina fulani, au hata facebook. Je, utawezaje kumfahamu vizuri mtu wa aina hiyo? Karibuni tuelimishane

Advertisements

3 thoughts on “Mahusiano ya masafa / Long distance relationship

  1. Bwana Yesu asifiwe. Mahusiano ya namna hii yana madhara makubwa sana sababu kubwa ikiwa ni kutojuana kwa undani tabia ya kila mmoja. Hii ni nzuri kama kweli narudia kama kweli kuna maono ya Mungu – Mungu mwenyewe kakupa huyo mtu haitakuwa ngumu kama anavyosema kwenye neno lake kuwa atakupa wa kufanana nawe.

  2. I do believe all the concepts you’ve presented to your post.
    They are really convincing and will certainly work. Still, the posts are very short for starters.
    May just you please prolong them a bit from subsequent time?
    Thank you for the post.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s